CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM NA CHUO KIKUU CHA ZAMBIA ZIMESAINI HATI YA MAKUBALIANO YA USHIRIKANO KATIKA TAALUMA PAMOJA NA UFUNDISHAJI WA LUGHA YA KISWAHILI NCHINI ZAMBIA
Maadhimisho ya Pili ya Kiswahili Duniani mwaka 2023 nchini Zambia yalihusisha tukio la utiaji saini Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano kati ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam na Chuo Kikuu cha Zambia katika Taaluma pamoja na… Read More